top of page

SINGLE MOTHER WA WATATO WATATU ABEBA BANGO ANATAFUTA MUME...

"Marry Me Please" Ndio kichwa cha habari kutoka kwa Mwanamke mmoja Nchini Kenya



ambaye amezua gumzo mtandaoni baada ya picha yake kuonekana akiwa ameshika bango akitafuta mwanaume wa Kizungu amuoe.

Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Catherine Gachara mwenye umri wa miaka 27 ana watoto watatu amehaidi kuwa mke Mwema kwa mwanaume atakayempata.

Katika bango lake hilo amesema jambo hilo ni kweli kutoka Moyoni kwake na wala si utani.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page