Kutoka mkoani Mara Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya

Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo kati yake na kaka yake
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema
"Binti huyo mwenye umri wa miaka 15 alichukua uamuzi huo baada ya kunyang'anywa simu yake waliyokuwa wakiigombania na Kaka yake.
Baada ya kitendo hicho alikasirika na kwenda chumbani akachukua kamba ya katani, akaifunga kwenye kenchi na kujinyonga."
Comments