UVUMILIVU WAMSHINDA GNAKO AVUJISHA DUDE JIPYA LA WEUSI..Ebwanaee ni kama Gnako hataki Utani kwani hatimaye kaamua kulivujisha Dude jipya la Weusi Na hii ni baada ya muda wa zaidi ya mwaka...