top of page
Radio on air
sports


Sebastian Coe Mgombea Olympiki Asema Akichaguliwa Michezo Ya Olimpiki Kuja Barani Afrika
Na Kulwa Mwaijulu Mshindi wa medali nne za dhahabu za michuano ya Olimpiki, Sebastian Coe amesema kuleta michezo hiyo barani Afrika...


Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (TPLB) katika kikao chake cha Machi 8, 2025 ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025 ilipitia shauri la...


Samuel Eto'o Ashinda Kesi Yake CAS, CAF Yatakiwa Kumrudisha Kwenye Orodha Ya Wagombea Urais
Na Kulwa Mwaijulu Samuel Eto'o ameshinda kesi yake katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)...


Arajiga Mwamuzi Wa Kati Yanga vs Simba
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza kuwa mwamuzi wa kati Ahmed Arajiga kutoka Manyara atachezesha mechi ya Kariakoo Derby kati...


Ahmed Arajiga Kuwa Pilato Wa Mchezo Wa Dabi Ya Kariakoo
Na Kulwa Mwaijulu, Bodi ya ligi kuu soka Tanzania TPLB imetoa seti ya waamuzi watakaohusika katika mchezo wa ligi ya NBC kati ya Yanga...


Cristiano Ronaldo Kukosa Mchezo Wa Hatua Ya 16 Ligi Ya Mabingwa Barani Asia
Na Kulwa Mwaijulu, Mshambuliaji wa Klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuukosa mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya 16 ligi...
Advertisement


Sebastian Coe Mgombea Olympiki Asema Akichaguliwa Michezo Ya Olimpiki Kuja Barani Afrika
Na Kulwa Mwaijulu Mshindi wa medali nne za dhahabu za michuano ya Olimpiki, Sebastian Coe amesema kuleta michezo hiyo barani Afrika...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page