top of page
Radio on air


Rs Berkane Yatwaa Ubingwa Wake Wa Kwanza Tangu Kuanzishwa Kwake Ikiwa Na Mechi 5 Mkononi
Na Kulwa Mwaijulu Renaissance Sportive of Berkane RS Berkane (RS Berkane) imefuta ukata wa kombe la ligi kuu baada ya kutwaa taji lao...


Sebastian Coe Mgombea Olympiki Asema Akichaguliwa Michezo Ya Olimpiki Kuja Barani Afrika
Na Kulwa Mwaijulu Mshindi wa medali nne za dhahabu za michuano ya Olimpiki, Sebastian Coe amesema kuleta michezo hiyo barani Afrika...


Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (TPLB) katika kikao chake cha Machi 8, 2025 ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025 ilipitia shauri la...


Samuel Eto'o Ashinda Kesi Yake CAS, CAF Yatakiwa Kumrudisha Kwenye Orodha Ya Wagombea Urais
Na Kulwa Mwaijulu Samuel Eto'o ameshinda kesi yake katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)...


Arajiga Mwamuzi Wa Kati Yanga vs Simba
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza kuwa mwamuzi wa kati Ahmed Arajiga kutoka Manyara atachezesha mechi ya Kariakoo Derby kati...


Ahmed Arajiga Kuwa Pilato Wa Mchezo Wa Dabi Ya Kariakoo
Na Kulwa Mwaijulu, Bodi ya ligi kuu soka Tanzania TPLB imetoa seti ya waamuzi watakaohusika katika mchezo wa ligi ya NBC kati ya Yanga...


Cristiano Ronaldo Kukosa Mchezo Wa Hatua Ya 16 Ligi Ya Mabingwa Barani Asia
Na Kulwa Mwaijulu, Mshambuliaji wa Klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuukosa mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya 16 ligi...


Amrouche Kocha Mpya Timu ya Taifa Rwanda
Aliyekuwa kocha wa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars), Adel Amrouche ametangazwa kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya soka ya...


Kocha wa Fenerbahce Jose Mourinho Alipishwa Faini Ya Dola 44,000, Pia Afungiwa Mechi 4
Na Kulwa Mwaijulu Jose Mourinho kocha wa klabu ya Fenerbahce amepigwa faini na kufungiwa na shirikisho la soka nchini Uturuki kuwa...


Uwanja Wa Ali Hassan MwinyiTabora Wafungiwa KutumikaTaarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF)
Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) inaeleza kuwa "Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...


Jezi Yenye Sahihi Ya Messi na Kuomba Kupiga Picha Vyasababisha Kibano Kwa Mwamuzi Miezi Sita
Na Kulwa Mwaijulu Marco Antonio Ortiz Nava Mwamuzi wa kati amefungiwa kuchezesha miezi 6 baada ya kuomba sahihi ya Lionel Messi katika...


Mechi Yasimama Baada Ya Vinicious Jr Kufanyiwa Ubaguzi Na Mashabiki Wa Real Sociedad
Na Kulwa Mwaijulu Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Copa Del Rey kati ya Real Sociedad na Real Madrid ililazimika kusimamishwa kwa...


Drogba Amtetea Jose Mourinho Baada Ya Shutuma Za Ubaguzi Dhidi Yake
Klabu ya Galatasaray ilimshutumu meneja wa Fenerbahce Jose Mourinho kwa kutoa kauli za kibaguzi kufuatia sare tasa kati ya wapinzani hao...


Mashujaa Wamfungashia VilagoKocha Mkuu Usiku Huu
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu ya Mashujaa FC usiku huu inaeleza kuwa. "Uongozi wa Klabu ya Mashujaa Fc unapenda kuutarifu...


Ronaldo Awashangaza Wengi Baada Ya Kumpa Mpira Mane Apige Penati
Na Kulwa Mwaijulu Moja kati ya vitu vilivyowashangaza wengi ni baada ya Cristiano Ronaldo kumpa mpira Sadio Mane ili apige penati...


Messi, Suarez Wapigwa Faini, Messi Kwa Kumkaba Shingo Kocha Wa New York City
Na VENANCE JOHN Mshambulizi wa kimataifa raia wa Argentina anayechezea klabu ya Inter Miami, ya Marekani Lionel Messi amepigwa faini...


Mourinho Kufunguliwa Mashtaka UEFA Na FIFA Kwa Kauli Za Ubaguzi Wakati Wa Mechi Ya Dabi
Na VENANCE JOHN Klabu ya Galatasaray imemshutumu kocha Jose Mourinho kwa kutoa kauli za kibaguzi na kusema wataanzisha kesi ya...


SARE DHIDI YA AZAM ISITUFANYE TUJITOE MBIO ZA UBINGWA - AHMED
Kutoka kwa Meneja wa habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya ."Sare dhidi ya Azam Fc isitufanye tujitoe kwenye mbio za...


MANCHESTER UNITED KUPUNGUZA WAFANYAKAZI 200
Na Kulwa Mwaijulu Klabu ya Manchester United watapunguza hadi nafasi za kazi 200 ambazo hazihitajiki ili kurudisha klabu kwenye...


KIUNGO VIPERS AFARIKI DUNIA
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na klabu ya Vipers ambapo taarifa hiyo ilieleza kuwa "Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha ghafla...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page