top of page
Radio on air


Argentina yatangaza maombolezo ya siku tatu baada ya mafuriko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu 16
Na Kulwa Mwaijulu Argentina imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia mafuriko yaliyogharimu maisha ya watu 16 huko Bahia...


Israel Yasitisha Usambazaji Wa Umeme Ukanda Wa Gaza
Na VENANCE JOHN Israel imesitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza ikichukuliwa kama mbinu ya kujaribu kuishinikiza Hamas...


Korea Kaskazini Yafichua Kile Inachosema Ni Manowari Inayotumia Nyuklia
Na Kulwa Mwaijulu Korea Kaskazini imezindua kwa mara ya kwanza manowari inayotumia nguvu za nyuklia inayojengwa, mfumo wa silaha ambao...


Mamia Ya Watu Wauawa Wakati Vikosi Vya Usalama Vya Syria Vikipambana Na Wafuasi Wa Bashar Al Assad
Na Kulwa Mwaijulu Serikali ya mpito ya Syria imetuma vikosi vyake katika miji ya pwani kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ambako vikosi...


Bomu Ambalo Halijalipuka La Vita Vya Pili Vya Dunia Lapatikana Katikati Ya Reli Karibu Na Kituo Kikuu Cha Treni Paris
Na VENANCE JOHN Kugunduliwa kwa bomu ambalo halikulipuka tangu Vita vya Pili vya Dunia siku ya leo Ijumaa kumetatiza sana usafiri...


UCHUNGUZI: Zaidi ya watu 500 waliteswa na kufa kwa njaa kisha wakazikwa Kaburi La Pamoja Sudan
Na Kulwa Mwaijulu Watu zaidi ya 500 wanaweza kuwa waliteswa au kufa kwa njaa na kisha kuzikwa katika kaburi la siri la watu wengi...


Mahakama Ya Korea Kusini Yafuta Hati Ya Kukamatwa Kwa Rais Aliyeondolewa Madarakani
Na VENANCE JOHN Mahakama nchini Korea Kusini imefutilia mbali hati ya kukamatwa kwa Rais Yoon Suk-yeol aliyeondolewa madarakani...


Takriban Watoto 375,000 Wanakosa Elimu Huku Zaidi Ya Shule 775 Zikifungwa DRC
Na Kulwa Mwaijulu Takriban watoto 375,000 wanakosa elimu na wako katika hatari ya kukabiliwa na ghasia na kuchukuliwa na makundi yenye...


Roketi Ya Anga Za Juu Ya Starship Ya Kampuni Ya SpaceX Ya Bilionea Elon Musk Yalipuka Angani
Na VENANCE JOHN Chombo kikubwa cha SpaceX cha Starship cha anga za juu kimelipuka angani siku ya jana Alhamisi dakika chache baada ya...


Kenya Yauamuru Mtandao Wa TikTok Kuondoa Maudhui Machafu Yanayowalenga Watoto
Na VENANCE JOHN, Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeutaka mtandao wa kijamii wa China wa TikTok kuondoa maudhui ya kingono...


Sudan Yaushtaki Umoja Wa Falme Za Kiarabu (UAE) Na Mahakama Ya Haki (ICJ) Kwa Kuwaunga Mkono Waasi Wa Rsf
VENANCE JOHN, Sudan imeamua kuchukua hatua dhidi Umoja wa falme za kiarabu (UAE) kwa madai kwamba inaunga mkono wanamgambo wa RSF...


Watu 7 Wajeruhiwa Baada Ya Ndege Ya Kivita Kudondosha Mabomu Kwa Bahati Mbaya
Na VENANCE JOHN Watu saba wamejeruhiwa nchini Korea Kusini, wanne kati yao wana hali mbaya, baada ya ndege ya kivita kudondosha...


China Imesema Ipo Tayari Kwa Aina Yoyote Ya Vita Na Marekani
Na Kulwa Mwaijulu China imeionya Marekani kuwa iko tayari kupigana aina yoyote ya vita baada ya utawala wa rais Donald Trump kuongeza...


DKT.MPANGO ATAKA AFRIKA KUBUNI NJIA BORA UENDELEZAJI RASILIMALI ZA NISHATI ILI KUKIDHI MAHITAJI
Makamu wa Rais, Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara ...


Zaidi Ya Watu Laki 2 Zambia Wameathiriwa Na Sumu Ya Madini Ya Risasi Kwenye Damu
Na VENANCE JOHN Ripoti inasema kuwa zaidi ya asilimia 95 ya watoto katika mji wa kati wa Kabwe nchini Zambia walikuwa na viwango vya...


Wabunge Serbia Warusha Maguruneti Ya Moshi Bungeni Na Kusababisha Wabunge Kadhaa Kuugua
Na Kulwa Mwaijulu Bunge la Serbia liliingia katika machafuko siku ya Jumanne wakati wabunge wa upinzani waliporusha maguruneti ya...


Faru Weupe 18 Wameingia Tanzania Kutoka Afrika Kusini
Na Ester Madeghe, Hatua hiyo ni sehemu ya mradi ambao utaliwezesha taifa la Tanzania kupokea jumla ya faru weupe 36, ambao walitoweka...


Marubani 2 Ufilipino Wafariki Baada Ya Ndege Ya Kivita Kupata Ajali
Na VENANCE JOHN, Maafisa wa kijeshi nchini Ufilipino leo wamesema kuwa marubani wawili wa jeshi la anga la nchi hiyo wamefariki baada...


Trump Asema Ukraine Imetuma Barua Kuomba Meza Ya Mazungumzo, Urusi Yataka Amani
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump jana amesema amepokea barua kutoka kwa Rais wa Ukraini Volodymyr Zelenskiy ambapo...


Mkuu Wa Jeshi Wa Naibu Rais Sudan Kusini Akamatwa, Mamlaka Zasema Anatishia Usalama Wa Nchi
Na VENANCE JOHN Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata afisa mkuu wa kijeshi anayeshirikiana na Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar, na...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page