top of page
Radio on air


Mwanamke Mwenye Miaka 76 Apata Mtoto Wake Wa Kwanza
Mwanamke mwenye umri wa miaka 76 kutoka Ethiopia ameweza kushinda changamoto zote na kujifungua mtoto wake wa kwanza, akisherehekea tukio...


FISI AUAWA AKUTWA NA ALAMA YENYE JINA LA MTU
Askari wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na...


ASAFIRI KILOMITA 1100 KICHOMA NYUMBA YA MWANAUME ALIYEKUWA AKIWASILIANA NA MPENZI WAKE
Na Ester Madeghe, Mwanaume mmoja huko Marekani aliyetambulika kwa jina la Harrison Jones amekamatwa na kushtakiwa kwa makosa sita ya...


AUSTRALIA: AKAMATWA KWA KUWASHAMBULIA WANAWAKE WAWILI WA KIISLAM MMOJA AKIWA MJAMZITO
Na Ester Madeghe, Mwanamke mmoja mjini Melbourne anakabiliwa na mashtaka kadhaa baada ya kuwashambulia wanawake wawili wa Kiislamu,...


LORI JAPAN LAPATIKANA KWENYE BOMBA LA MAJI TAKA WIKI CHACHE BAADA YA KUANGUKIA KWENYE SHIMO
Na VENANCE JOHN Kabati la Lori ambalo lilimezwa na shimo kubwa la kuzama (sinkhole) nchini Japan wiki mbili zilizopita limekutwa...


SHERIA YA ILIYOPENDEKEZWA YA KUSAIDIWA KUFA UINGEREZA KUBADILISHWA ILI KUONDOA UTIAJI SAINI WA MAJAJI
Na VENANCE JOHN Pendekezo la sheria mpya ya Uingereza ya kusaidiwa kufa kwa wagonjwa mahututi itarekebishwa ili kuondoa sharti kwamba...


BABA AMUUA KWA RISASI BINTI YAKE KWA KUPOST VIDEO ZISIZO NA MAADILI TIKTOK
Na VENANCE JOHN Mwanamume mmoja ambaye hivi majuzi aliirudisha familia yake nchini Pakistan kutoka Marekani jana Jumatano amekiri...


JET LI AMKABIDHI MKEWE UTAJIRI WAKE WOTE ASEMA "AKIHITAJI KITU BASI ATAMUOMBA MKEWE"
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na...


MGANGA AKAMATWA NA FISI ADAI ANAMTUMIA KAMA USAFIRI WA KUPAA ANGANI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata Emanuel Maduhu (31) mkazi wa Kijiji cha Kilulu, Kata ya Bunamala, Wilaya ya Bariadi ambaye ni...


JAMAA AOGELEA SIKU 2 MFULULIZO ILI AWEKE REKODI YA DUNIA, NA AMEWEZA
Rekodi ya kuogelea kwa muda mrefu imewekwa na Maarten van der Weijden (Uholanzi) huko Vught, North Brabant, Uholanzi, aliogelea kwa saa...


AKAMATWA AKIWA NA BUIBUI 300, TANDU 110 NA MCHWA 9 VIKIWA VIMEFUNGWA KWENYE MWILI WAKE
Na VENANCE JOHN Polisi nchini Peru wamemkamata mwanamume ambapo amekamatwa akijaribu kuondoka nchini humo akiwa na buibui aina ya...


HIZI NDIZO BAA 50 BORA ZAIDI DUNIANI KWA 2024, AFRIKA HAINA MSHINDI KWENYE ORODHA HIYO
Na VENANCE JOHN Jijini Madrid mjii mkuu wa Hispania, jana usiku kulifanyika hafla ya kutambua na kutoa tuzo kwa baa 50 bora zaidi...


MJUKUU AIBA HATI AUZA NYUMBA MILIONI 5, AMWACHA MJANE KWENYE MAJONZI
Ripoti kutoka Mtaa wa Sulungai Kata ya Ipagala, jijini Dodoma, Elizabeth Sudai (80) ameiomba serikali kumsaidia kupata nyumba yake ambayo...


NYANGUMI ANAYEDHANIWA KUIFANYIA UPELELEZI URUSI AFARIKI DUNIA NCHINI NORWAY
NA VENANCE JOHN Nyangumi ambaye ni jamii ya beluga aliyekuwa anadhaniwa kutumiwa na Urusi kwa shughuli za ujasusi (upelelezi)...


ALIYEPANGA NJAMA YA KUMFUNGA JELA EX WAKE AJIINGIZA MKENGE NA KUFUNGWA MWENYEWE KISA BANGI
Na VENANCE JOHN Mwanamume mmoja nchini Singapore amejikuta matatani baada ya kujaribu kupanga njama dhidi ya aliekua mke wake ambaye...


SEABRIGHT KUKU ANAYEUZWA LAKI TANO (500,000)
Na VENANCE JOHN ‘Seabright’ ndiyo jina walilopewa kuku hawa wenye asili ya Uturuki. Kuku hawa wanatumika zaidi kwa ajili ya urembo na...


JELA MIAKA 10 KWA KUWANYANYASA MBWA KIJINSIA
Na VENANCE JOHN Adam Britton ambaye ni mtaalam wa mamba nchini Uingereza amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela nchini Australia, baada...


WAZIRI MKUU WA SOMALIA KUTUMIA MSHAHARA WAKE WOTE WA MWEZI JULAI KUWASAIDIA WAATHIRIWA WA MLIPUKO
Waziri Mkuu wa Somalia Hamza Abdi Barre ametangaza kuwa mshahara wake wote wa mwezi Julai atautoa kuwasaidia watu walioathiriwa na...


ENOCK AKAMATWA NA WALINZI WAKANISA AKITOROKA NA SAKRAMENTI
Kutoka Ifakara mkoani Morogoro Kijana Enock George Masala (19) amekamatwa akitoroka na Sakramenti takatifu baada ya kukomunika katika...


ANGALAU MBWA MILIONI 5 NA PAKA MILIONI 1 HUCHINJWA KILA MWAKA HUKO VIETNAM
Haya sasa fahamu kuwa angalau mbwa milioni 5 na paka milioni 1 huchinjwa kwa ajili ya matumizi ya kula binadamu huko nchini Vietnam kila...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page