top of page

MUONGOZAJI WA VIDEO DIRECTOR KHALFANI AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizotufikia mezani zinaeleza kuwa muongozaji maarufu wa Video za muziki Director Khalfani Khalmandro amefariki dunia leo May 5, 2024 kutokana na Maradhi yaliyokua yanamsumbua kwa muda mrefu.




Khalfani alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, taasisi ya mifupa MOI ikitajwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la damu kuvilia kwenye ubongo lililopelekea changamoto ya kupooza upande wake wa kulia wa mwili.

Msasa Media Tunatoa Pole, kwa Familia, Ndugu Jamaa na Marafiki walioguswa na Msiba huu. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi Amein.

Endelea kuwa nasi taarifa zaidi tutakujuza.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page