top of page

FEISAL AMFIKIA MABAO AZIZ KI AZAM FC IKIMCHAPA MTIBWA 2 - 0...

Vita ya kiatu cha mfungaji imebora imezidi kunoga na huenda yakatokea yale yale ya mwaka



jana kati ya Saido Ntibanzokiza na Fiston Mayele kwani hadi sasa wakali wawili Azizi Ki wa Yanga SC na Feisal Salum wanakimbizana hadi sasa wote wamefunga mabao 15 na assisti 7.

Feisal amefikisha bao la 15 leo wakati Azam FC ikiwachapa Mtibwa Sugar mabao mawili kwa sifuri kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page