Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Jumanne, Mei 07,

2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Hotuba yake itajumuisha utekelezaji na mafanikio yaliyopatikana kwenye Sekta ya Elimu kupitia Bajeti ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 pamoja na Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Comments