ZUCHU ATANGAZA KUACHANA NA DIAMOND "MAPENZI NI HESHIMA ILA BAHATI MBAYA IMEKOSEKANA KWETU"Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa staa wa Bongofleva Zuchu amefunguka haya

"HELO FAN-MILLY I HAD TO POST THIS TO CLEAR MY CONSCIENCE. KUANZIA LEO HII MIMI NA NASIBU (DIAMOND) HATUKO PAMOJA I KNOW THIS HAS BEEN OUR THING BUT AS HARD AS IT IS KUMUACHA MTU UNAEMPENDA HII NAOMBA MUNGU IWE YA MWISHO NA NIANZE MAISHA MAPYA.MAPENZI NI HESHIMA KWA BAHATI MBAYA SANA ΗΙΚΟ ΚΙΜΕKOSEKANA KWETU AS FOR HIM BADO TUNA KAZI ZA PAMOJA I WISH HIM AND HIS FAMILY THE ABSOLUTE BEST
TUMEISHI VIZURI LAKINI NADHANI HII SIO RIZKI MWAKA HUU NIMEJIFUNZA KUSEMA HAPANA KWA KILA KITU KISICHONIPA FURAHA AMA BAADA YA KUSEMA HAYA NAONA KABISA NAENDA KUANZA UKURASA MPYA WENYE MAISHA YALIYOJAA FURAHA UHURU NA AMANI AS FOR NOW KAZI IENDELEE AND I AM SINGLE
YOURS TRULY ZUCHU".
Yorumlar