
Kutoka Afrika Kusini hadi Marekani nyota wa muziki Tyla ameandika historia kwenye maisha yake kwa kushinda tuzo yake ya kwanza ya Grammy akiwa na umri wa miaka 22, Tyla ameshinda kipengele cha "Best African Music Performance" kupitia wimbo wake "Water" ambapo amewapiga chini mastaa kibao wa Nigeria Burna Boy, Asake, Ayra Starr na Davido.
Comentários