Kutoka kwa Kocha Gamondi wa Yanga baada ya ushindi wa 2 -1 dhidi ya Simba SC Derby ya

Kariakoo mchezo wa Ligi Kuu ya NBC mkondo wa pili baada ya mkondo wa kwanza kushinda 5 - 1 anasema
"Tungeweza kumaliza utani wa jadi leo. Ila nimeona haitokuwa kitu kizuri kwa ustawi wa soka nchini Tanzania.
"Ndo maana mkaona wachezaji wangu walikuwa wanacheza kama kwamba wako mazoezini tu."
Comments