
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva TundaMan ambaye pia ni shabiki kindaki ndaki wa Simba SC amebarikiwa kupata mtoto wa kiume na kumpatia jina la Dewji.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kubarikiwa mtoto huyu huku akimpa jina la Dewji ambapo taarifa hiyo imemfikia Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Mohamed Dewji kwani alimtag kwenye Insta Story na MO aliweza kurepost na kuonesha kuwa amepokea taarifa hiyo.
Kutangaza Biashara Yako na Msasa Online WhatsApp Namba 0758 379 300
Comments