Baada ya Whozu kuwaka kuwa hampendi Tunda na kwamba amekuwa akimuongelea uongo hatimaye Tunda kaibuka na kumjibu Whozu akiandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram

upande wa Insta Story
"Msikilizeni kwa makini uyu bogus yaniii anisemee mimi afu mimi kumsemea anapanic asa ana paniki nini? uongo nini hapo unanipenda una hangaika na mimi sana mnooo yani wewe hata upate mwanamke…
See more
Comments