
Kutoka nchini Burkina Faso Kiongozi wa Serikali ya Junta, Ibrahim Traore ametangaza mpango wa kufuta leseni za kampuni za Uchimbaji madini kutoka kwa baadhi ya kampuni za Kigeni na kuanza kuzalisha madini ya dhahabu zaidi
Bila kutaja majina ya kampuni zinazoweza kufutiwa leseni za Uchimbaji, Traore amesema "Tunajua jinsi ya kuchimba dhahabu yetu na sielewi kwa nini tunawaruhusu Makampuni ya Kimataifa kuja na kuchimba,"
Comments