top of page

TAMBO ZA SHUJAA BAADA YA KUMFANGASHIA VILAGO SIMBA "TULIWAAMBIA UNYONGE BASI"

Hii ni picha ya kwanza kutoka ukurasa wa Mashujaa baada ya kuindosha Klabu ya Simba



kwenye michuano ya Kombe la CRDB BANK FEDERATION CUP baada ya kutoa Sare ya 1-1 na baadae kutolewa kwenye changamoto ya mikwaju ya Penati (6-5) kwenye mchezo wao dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma, haya ni maumivu mawili ya mfululizo baada ya kutolewa kimataifa na sasa wanatolewa Kombe la Shirikisho la CRDB hivyo wanasalia kupambania Ligi Kuu.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page