
CUP FT SIMBA SC 1 - 0 AZAM FC Kutoka Zanzibar klabu ya Simba SC imeibuka Bingwa wa Tanzania Union Super League 2024 (#MuunganoCup2024) baada ya kuwafunga matajiri wa Chamazi Azam FC Bao moja kwa sifuri bao lililofungwa dakika ya 77 na mchezaji BabaCar Sar.
Comments