
Kutoka kwa Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya baada ya klabu yake ya hiyo kupoteza kwa kufungwa mabao mawili kwa moja
"Siku mbaya kazini pamoja na kupambana kwa wachezaji wetu lakini bahati haikua yetu na ubora wa mpinzani umeamua matoke
Hongera Tanzania Prisons Sisi Tunarejea kwenye Uwanja mazoezi kurekebisha mapungufu yetu"
Comments