Klabu ya Wydad Athletic Club imemtambulisha kocha wa zamani wa Mamelod Sundowns

Rulani Mokwena kuwa kocha wao mkuu kwa mkataba wa miaka miwili.
Rulani anatua Wydad baada ya kumalizana na Mabingwa wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini na AFL Mamelodi Sundowns ambapo Wydad wameweka tumaini kubwa kwa kocha huyu kuhakikisha anarudisha heshima klabuni hapo.
Comments