Kila uchwao mapya yanaibuka yaani Dunia inaenda kasi kweli kweli sasa Kampuni ya Makerlabs Edutech imezindua roboti wa kwanza mwalimu aitwaye Iris ambaye atafundisha katika shule ya Kerala, pamoja na Shule ya Sekondari ya Juu ya KTCT, Thiruvanathpuram

nchini India.
Mwalimu huyo wa kike ambaye anapata usaidizi kutoka kwa Al atawafundisha wanafunzi masomo mbalimbali kwani kwa sasa anazungumza lugha tatu lakini wataalamu wana mpango wa kupanua uwezo wake ili aweze kuzungumza lugha hata 20 kwa ajili ya kuwafunza wanafunzi lugha tofaut
Commenti