Na VENANCE JOHN

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa mkuu wa wilaya ya Longido Marko Henry Ng'umbi.
Taarifa ya utenguzi, iliyotolewa, haijaeleza nani ametuliwa kuchukua nafasi ya Ng'umbi wala taarifa haijaeleza kama atapangiwa kazi nyingine. Utenguzi huo unakuja ikiwa ni muda mfupi tangu kusambaa kwa picha jongefu (video) inayomwonesha mkuu huyo wa wilaya akizungumzia masuala ya uchanguzi wa mwaka 2020.
Comentarios