L

Kiungo wa klabu ya Yanga raia wa Ivory Coast Pacome Zouzoua amewasili Tanzania Usiku wa kuamkia Alhamisi ya leo Machi 28 akitoka kwenye majukumu ya taifa lake.
Machi 30 Yanga SC itacheza dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini mchezo wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika mkondo wa kwanza kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam.
Comments