top of page

NIMEOMBA VIONGOZI WA YANGA SC WASAMEHE YOTE WAONDOE SHAURI LAO DHIDI YA KAGOMA- MH. MWIGULU


Kutoka kwenye ukurasa wa Waziri Wa Fedha Mh. Dkt. @mwigulunchemba ameandika ujumbe huu


"Nafahamu undani wa Suala la Yusuf Kagoma, ni kweli Kagoma alisaini mkataba Yanga, na baadae akasaini Simba, Najua kutokwenda kwake Yanga na badala yake kusaini Simba hata sio Masuala ya Fedha. Tutatumia muda sana tukitaka kuchimba haya. Kagoma ni mtoto wetu, Yanga ni Club kubwa sana na ina mambo muhimu ya kuyawekea nguvu kuyafanikisha kuliko kuweka nguvu Kagoma aisicheze licha ya ukweli kwamba alistahili achezee Yanga. NIMEWAOMBA VIONGOZI WA YANGA WASAMЕНЕ YOTE, WAONDOE SHAURI DHIDI YA KAGOMA, WAMWACHE AWE HURU AKAITUMIKIE SIMBA KWA MASLAHI MAPANA YA MPIRA WA ΤΑΝΖΑΝΙΑ ΝA KWA FAIDA YA MCHEZAJI MWENYEWE.


"MY GAME IS A FAIR PLAY".

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page