
Mfanyabiashara na Rais wa heshima wa klabu ya Simba SC Mohamed Dewji maarufu kama MO DEWJI amefunguka haya kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram
"Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua. Kikao kimeenda vizuri. WanaSimba tusife moyo, tuendele kushirikiana.
Comments