Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa msanii wa vichekesho Umar lahbedi Issa anajulikana kwa jina maarufu la @mzeewamjegejetz amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospital ya Mwananyamala alipokuwa anapatiwa matibabu.

Meneja wa msanii huyo, Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo za kifo cha msanii wake anayekaa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Chanzo cha kifo chake kinatajwa alikuwa anaumwa maradhi ambayo hayajawekwa wazi.
Via Manara TV #MsasaHabariSaa24
See less
Comments