Na VENANCE JOHN

Anicia Gaothus binti wa miaka 26 ameteuliwa na rais wa Botswana, Bw.Duma Boko kuwa waziri wa vijana na mausala ya jinsia. Binti huyu ana taaluma ya sheria lakini pia anajishughulisha na masuala ya mitindo na ulimbwende. Anicia Gaothus mwaka 2022 alikuwa Miss Botswana.
Comments