
"Mwalimu wa Hesabu Nipo Tunakata Pindi La Probability Hapa Karibu"Waziri Wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba
Licha ya majukumu mengi ya kikazi ila linapokuja suala la malezi Waziri wa Fedha Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba hana mchezo kabisa akiwa nyumbani hugeuka kuwa mwalimu na pindi linaendelea kama kawaida kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha hizi na kuandika
"Kuelekea week end, Mwalimu wa Hesabu nipo. Hapa tunakata pindi la Probability! Karibu, lakini umechelewa kidogo-tumeshamaliza Algebra, Logarithm, Functions, Sequence & Series"
Commentaires