
MKURUGENZI TRC AOMBA RAIS ARIDHIE STESHENI YA DODOMA IPEWE JINA LAKE "SAMIA DODOMA STATION"..
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan akubali ombi la menejiment na bodi ya shirika hilo Stesheni ya Reli ya Kisasa (SGR) mkoani Dodoma iitwe kwa jina lake, 'Samia Dodoma Station'.
Source: Tbc Online
Comments