
Taarifa iliyotufikia mezani usiku huukutoka kwa Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime ametoa taarifa akikiri Polisi kumshikilia aliyewahi kuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob Mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dares Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo ambapo taarifa hiyo imesisitiza kuwa "Wananchi wapuuze uongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa"
Comments