
Mchezaji mwenye kipaji kikubwa cha soka wa Somalia, Abdihafid Abdi (16) anasema, atastaafu soka baada ya ligi nchini humo kumalizika mwezi ujao kwa sababu ya mwanamke ambaye anataka kumuoa amemshauri aache kucheza soka kabla ya kumuoa.
Kijana huyu amewahi kushinda tuzo ya mchezaji bora katika mashindano ya CECAFA U-20.
Comments