
Wakali wa muziki wa Bongo Fleva Marioo na Aslay wameingia studio tayari kwa kupika wimbo ambapo @marioo_tz kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo ambapo amechapisha picha hizi mnato na mjongeo kisha kuandika
"We got one me & my brother @aslayisihaka 🤴"
Commenti