Kutoka kwenye ukurasa wa mtandao wa Instagram na X wa aliyewahi kuwa CEO wa klabu ya Simba SC Barbara Gonzalez amepost picha hii na kuweka ujumbe usemao

"ALHAMDULILLAH"
Hii post imeibua maswali mengi sana kwani ameipost muda mfupi tu baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Simba
Salim Abdallah maarufu Try Again atangaze kujiuzulu.
Unadhani post yake ina maana gani?
Comentários