Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga VS Mamelodi Sundowns Meneja habari wa Yanga SC Ally Kamwe amefunguka haya mbele ya waandishi wa habari

Mechi ya Young Africans SC Vs Mamelodi Sundowns itachezwa majira ya saa tatu usiku Tarehe 30 March 2024. Mamelodi wataingia nchini siku ya Tarehe 28 March 2024 majira ya saa moja kamili usiku" @alikamwe
"Hali ya Wachezaji wetu ambao walipata majeraha @…
See more
Comentários