
AZIRUDISHA ENZI ZA BOB MANECKY
SASA KUNA NA NGOMA MPYA "BADO"
Kwa kitambo kirefu mashabiki wa Juma Jux walimiss ngoma zake za utulivu zenye uhondo wa mashairi mazito ya Wapenzi akaaamua awachangamshe na Madude ya kuruka ruka kama Kiss na Enjoy lakini hivi karibuni ameanza kuwapa ladha walizomiss akianza na #Nisiulizwe na sasa kabla utamu haujaisha kamvuta producer wake wakitambo @bobmanecky na sasa anakuletea #Bado kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka haya akiambanatisha na kionjo cha ngoma hiyo
"Kuna namna mapenzi yanakupitisha kwenye experience flani hivi, hadi ukasema hiki nini.
Ila usiruhusu yakubadili tabia, kosa la aliyepita isiwe sababu ya kumtesa anayekuja. I still believe in love
Comments