Na Ester Madeghe,
Wizara ya Afya ya Lebanon imesema mtu mmoja ameuawa, na kuwaacha wengine watano kujeruhiwa wakati Israeli ikifanya mashambulio 17 kwenye vitongoji vya kusini mwa Beirut usiku kucha, na kuharibu majengo sita katika uvamizi ambao ulianza bila onyo.

Afisa mmoja wa Lebanon alikuwa miongoni mwa wanajeshi watatu waliouawa katika shambulizi la Israel kusini mwa Bint Jbeil, jeshi la Lebanon limesema.
Comments