KWA KUFUNGUA RADIO NA TV YAKE
Staa wa Bongo Fleva Harmonize amempongeza mwanamuziki Alikiba kwa kutimiza miaka 20

kwenye kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva pamoja na kufungua kituo chake cha Radio pamoja na Televisheni.
Harmonize ametuma ujimbe huo wa pongezi kwa Kiba kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa Insta Story akipost Logo ya media hiyo huku akiandika "Another one Congrats 20 years".
留言