Mwezi Februari mwaka 2024, imekuwa Februari yenye joto zaidi kuwahi kurekodiwa duniani

kote, kama ilivyothibitishwa na Copernicus, taasisi ya Umoja wa Ulaya ya kuchunguza hali ya hewa, huku halijoto ikipanda juu ya vizingiti muhimu vya hali ya hewa angani na baharini.
Vipi kwako Joto la Februari maeneo uliyopo umelipata mwezi huo?
Kommentare