Baada ya taarifa kusambaa kuwa Dulla Makabila atakuwa moja ya wasanii watakaotumbuiza Simba Day jambo lililowafanya mashabiki wa Simba watupe lawama wakimkataa ambapo sasa Dulla amejibu haya

"NIMEPANGWA KUFANYA PERFOMANCE SIKU YA SIMBA DAY NA NIMEONA COMMENT NYINGI ZA MASHABIKI WA SIMBA WAKIDAI KUWA HAWANITAKI SIKU IYO NIIMBE SASA NIPO NJIANI NAENDA STUDIO KWA NITAKACHOKIIMBA MTANITAKA"
Comments