Kila jambo na wakati ndivyo ambavyo tunaweza tukasema juu ya safari ya msanii BabaLevo ambaye kutoka kuwa chawa kisha Mtangazaji mpaka sasa mmiliki wa Kampuni mpya ya

Media 7Media ambayo rasmi imezinduliwa leo na Boss wake Diamond Platnumz mmiliki wa Wasafi Media.
Diamond amempongeza BabaLevo kwa hatua hiyo kubwa huku akisema anafurahi kuona mfanyakazi wake anakua kwani yeye hazuii mtu kufungua media yake binafsi kwani kila mtu ana ndoto zake ilimradi atimize majukumu yake katika ofisi anayofanyia kazi ndio jambo la muhimu.
Comments