Mchana huu wa leo Julai 18, 2024 Kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege Julius Kambarage

Nyerere Dar es Salaam mchezaji Jean Baleke ameonekana ndani ya T.Shirt ya njano ya Yanga SC akiwasili Uwanjani hapo na kuungana na wachezaji wengine wa klabu hiyo kwa ajili ya safari kuelekea nchini Afrika kusini kucheza michezo ya kirafiki ya Pre season.
Comments