
BAADA YA CHRIS BROWN KUWAPOST
WAZEE WA MAKOTI MISSO MISOND
LUDACRIS NAE AWAKUBALI AWAPOST
Wiki chache zilizopita staa wa muziki duniani Chris Brown kutoka Marekani alikoshwa na video ya Wazee wa Makoti wa Misso Misondo kiasi cha kuamua kuwapost kwenye ukurasa wake wa Instagram upande wa Insta Story
Sasa video hiyo imemfikia mkongwe mwingine wa Marekani Luda Chris kwani nae amewapost kupitia Instastory yake.
コメント