Wakati homa ya Derby ikizidi kupamba moto ifahamike kuwa Bwana Ahmed Arajiga kutoka

Manyara ndiye mwamuzi atakayechezesha mechi ya hiyo ya Kariakoo Derby kati ya Young Africans dhidi ya Simba Sc Jumamosi hii Aprili 20, 2024 akisaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga) na Kassim Mpanga wa Dar es Salaam na Tatu Malogo wa Tanga atakuwa 4th Official.
Comments