
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza kuwa mwamuzi wa kati Ahmed Arajiga kutoka Manyara atachezesha mechi ya Kariakoo Derby kati ya Yanga vs Simba Jumamosi hii Machi 8. Arajiga atasaidiana na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam.
Comments